26 November 2010

DIAMOND AKAMUA NYIMBO MPYA

Msanii wa kizazi Kipya Diamond aka Mzee wa Mbagala ametengeneza kibao kipya mapema wiki hii ndani ya Studio za URBAN PULSE CREATIVE maalum kwa ajili Urban Tour war on Malaria. Kibao hicho cha kusisimua kinaitwa LALA SALAMA kimeangushwa na Producer Young Josh na Salim kutoka URBAN PULSE. Ili kuwapa mafans wake burudani ya ukweli .


BARAKA, FRANK NA DIAMOND WAKIJADILI MWELEKEO WA NYIMBO MPYA YA DIAMONDDIAMOND AKITUNGA NYIMBO MPYA NA URBAN PULSE


YOUNG JOSH NA SALIM WAKANDAA BEAT YA NYIMBO YA LALA SALAMA
Diamond ataperfom nyimbo ya " LALA SALAMA"  kwa mara ya kwanza kwenye show zake za mwisho ambazo zitazofanyika:26th November 2010
CLUB AMBASSADOR
20 LONDON ROAD
BARKING, 1G11 8AJ

27 November 2010
116 GAR GOSFORD STREET
PALMS BAR
COVENTRY
CV1 5 EA

Kiingilio ni £10 kabla ya saa sita usiku.
Tafadhali wahi mapema na pia tunaomba mpe taarifa mwenzako.
WOTE MNAKARIBISHWA
Asanteni sana,


URBAN PULSE CREATIVE
Post a Comment