30 December 2010

HAPPY BIRTHDAY MOOGS AKA EM DOUBLE


Click here: http://www.myspace.com/moogsmusik
Leo ni siku ya kuzaliwa ya msanii huyu ajulikanaye kwa jina la MOOGS aka EM DOUBLE who was born as Jackson Mugishagwe.Hungaz na familia nzima akiwemo mama yako mzazi Bi Lucia,Aunt Joyce,mdogo wako Faith, cousins Kelvin,Simona and friends tuna kutakia maisha mema na afya njema
we cant wait for your MIXTAPE that you r going to release sooon!!! stay tuned people  .
 HAPPY BIRTHDAY FAM!!!!!!!


No comments: