26 March 2011

BROTHER APATA JIKO

Brother Agrey Urio mwenye maskani yake pale Reading UK hivi karibuni alifunga ndoa pale Bongo TZ.Hungaz tunakupongeza nakuwa takia maisha mema na tunawaombea baraka tele toka kwa muumba.

No comments: