20 March 2011

VIDEO SHOOTING YA SALIM AKA BABIE C ILIKUWA HIVI-LONDON

Babie C akiwa na Model wakati wa shooting ya video ya nyimbo yake itakayo toka hivi karibuni ,Wadau kaeni mkao wa kula kwa ngoma hii ambayo ni nomaaa.


Juny Man

Mussa akiwa kazini


Juny Man akichana huku model akifanya kweli

Juny Man na Model

Mussa (wa pili kulia) akiwa na models na mdau

Juny man akiwa na wadau

No comments: