9 May 2011

Mh Waziri Membe Azungumzia kuhusu Sera za Mambo ya nje za Tanzania

URBAN PULSE CREATIVE inapenda kuwaletea video ya mahojiano mafupi na Mh B.Membe kuhusu Sera ya Tanzania ya Mambo ya Nje wakati walipokutana London katika mkutano wa diaspora III uliofanyika wembley london siku ta tarehe 6-7 may 2011

No comments: