5 May 2011

Sherehe za Muungano zafana uk


Balozi Khallage akifungua shughuli

Jambo band wakitumbuiza

Mkongwe Kawelee akiukung'uta mpini kwa gitaa

Bw Kiondo kutoka ubalozi wa TZ Uk akiwa na familia yake

Balozi Kalaghe akiwa na Urban pulse

Maofisa kutoka ubalozini katika sherehe

Mkurugenzi wa Aseti Asha Baraka akiongea na mama balozi

Tina wa tatu kushoto akiwa na wadau
Mh Balozi akiwa na mkewe wakifungua mziki

Balozi na wadau wakiruka nyoka


Jesse akiwa na Tina

Abuu Faraji na mwana wane Chriss Love


Francia (light blue dress) ambaye alikuwa akisherekea siku ya kuzaliwa kwake akiwa na meneja wake Shelamima


No comments: