![]() |
Michael
Agustine Lukindo enzi ya uhai wake.
Kuna Mtanzania mwenzetu amefariki Madison Wisconsin nchini Marekani, wanatafutwa ndugu zake. ni mtu wa Tanga Michael
Agustine Lukindo. Alikuja USA miaka mingi iliyopita, inasemekana zaidi ya miaka thelathini. Ameacha mke (African American) na watoto wanne, mkubwa alizaliwa 1989 familia yake haijui ndugu za Michael. Mazishi yatafanyika Jumamosi March 29, 2014, ila mwili utachomwa. Kama unafununu au kujua lolote kuhusiana na ndugu yetu huyu unijulishe mimi naitwa Lugome Fautus email yangu ni . Lengo nikuweza kuwafahamisha ndugu zake nyumbani Tanzania. Asante kwa ushirikiano wako. Tunatanguliza shukurani...Bofya hapa kwa uzaidi
CHANZO: Watanzania waishio nje ya nchi
|
26 March 2014
TAARIFA:Michael Agustine Lukindo Mtanzania aliyefariki Wisconsin wanatafutwa ndugu zake maiti kuchomwa moto Jumamosi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment