1 April 2014

Mama Kikwete akutana na wanawake wa Kitanzania waishio UK

Dada Francia Chengula ambaye ni mkazi wa Reading UK na msanii akimkabidhi Mama Salma Kikwete mke wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania audioCD ya nyimbo zake katika hafla iliyofanyika mjini  London.Kwa habari zaidi katika picha Bofya hapa

No comments: