17 June 2014

Al-Shabab killed 48 in Kenya during World cup viewing session

WATU 48 wameripotiwa kuuawa, hoteli mbili, kituo cha polisi na kituo cha mafuta kuchomwa moto baada ya shambulio lililotokea eneo la Mpeketoni, Lamu nchini Kenya jana usiku.Kituo cha Polisi cha Mpeketoni, hoteli ya Breeze View na Taweel ndivyo vilivyochomwa moto na moshi ulikuwa bado unafuka leo  asubuhi .Imeelezwa kuwa washambuliaji walitokomea na silaha na magari ya polisi kutoka kutuo hicho cha polisi baaya kushabulia.
Kwa habari zaidi bofya hapa

No comments: