In modern world a caesarean section takes place with precaution |
FROM SOURCES :
"Im sad to say jamani I have just lost My cousin JENNY ERASTO KITENDE. She was giving Birth today at Temeke Hospital. They operated her and suddenly her health deteriorate. Nalia kwa huzuni. Baba yake kafa 3 months ago now yeye. Binti mdogo wa under 30yrs. Uwiiiii Maternal Death na Tanzania hadi lini jamaniiii.Haswa hii hospital ya Temeke. R.I.P MDOGO WANGU"
Medical Neglet who is accountable Hospital na wizara ya Afya !!?? Wamama wanakufa kila siku na watoto wao. Mtu akizikwa tu case closed. Sadly my cuzin Jenny alilalamika sana kwamba hajisikii vizuri pressure ilikuwa juu sana na hadi anakufa no one served her. No one worked on her to manage the high blood pressure. Je kweli tuna madoctor na manurse waukweli au wakwenye vyeti tuuu???. Nasikitika sana nchi yangu..-Melsmum(FB)
Maternal death ni nyingi sana esp govt hospitals yan mzazi akipata complication kdg akikosa huduma nzuri anakufa inaogopesha sana ndio maana watu wakitaka kujifungua km una kauwezo kakua na private dr ni afadhali mana bora utumie gharama kubwa kuokoa maisha yako, je kwa wale wasio na uwezo huo wafanyeje? inaumiza sana kuona mama anakufa wkt wakujifungua au mtoto anakufa kwa uzembe wa wauguzi wakat kuna preucation zakuchukua-by Regina Chilongozi
Mozes Mikidadi Pole sana. hii hali haikuanza leo wala haitokwisha sasaiv hadi hapo tutakapo funguka na kuifungulia wizara ya afya ( kesi ya mauaji ya kizembe inayosababshwa na waajiriwa wao) lasivyo akina mama watakufa sana kwa uzembe wao
Neema Ngaga Yaan hizi hospital zetu ni hatari mtu anakwenda pale kwa ajili ya kuokoa maisha yake lakin sasa hv huku TZ ukienda GVT hospital unaenda kumaliza maisha yako!So sad jaman
what do you think is the problem and what would be the right solution to stop it or even to reduce these deaths? email hungaz at hungazblog@gmail.com
No comments:
Post a Comment