Showing posts with label HUNGAZ KUJIACHIA. Show all posts
Showing posts with label HUNGAZ KUJIACHIA. Show all posts

4 June 2011

Banda la TA Reading Latingisha ndani Ya Reading Carnival

URBAN PULSE CREATIVE inawaletea picha za matukio ya Reading Carnival iliyofanyika jumatatu 30.5.11 ambayo ilikuwa ni siku ya Bank Holiday. Kwa mara ya kwanza TA Reading ikishirikiana na TANZ UK waliandaa banda la kitanzania kwa kupika chakula cha Kitanzania na kuuza kwa wadau mbalimbali waliojitokeza kutembelea banda la TA ikiwa ni mojawapo ya mradi wa kuchangia mfuko wa TA Reading. Mgeni rasmi alikuwa Mh Naibu Balozi wa Tanzania Uingereza Chabaka Kilumanga alieambatana na Afisa wa Ubalozini Amosi Msanjila. Kwa ujumla banda ka kitanzania lilitia fora kuliko mabanda yote mengine ya mataifa mbalimbali.

Banda la TA Reading Funika bovu

Mh Naibu Balozi akiwa na wadau wa Reading wakati wa Carnival


18 March 2011

The Hit & The Game!!

hungaz and Shedrack @ vincent pub

lady of the night and hungaz

kesho yake kama kawa