25 March 2013

KAJALA AOKOLEWA NA WASANII WENZAKE WA BONGO MOVIE

KAJALA MASANJA
Taarifa tulizopata hivi punde Kuhusu kesi ya mwana dada muigizaji wa bongo movie anayejulikana kwa jina la Kajala aponea kwenda jela kwa miaka mitano baada ya kesi mbili zilizokuwa zinamkabili kuhitimu hukumu yake.Moja ya kesi ni .Kajala Masanja na mumewe, Faraji Augustine ambao wote waalikuwa nyuma ya nondo katika Gereza la Segerea,.Kufuatia kesi iliyowakabili ya kughushi hati na kuuza nyumba iliyo kwenye pingamizi.
Taarifa toka kwa vyombo vya habari zina sema hivi:
Hukumu ya Kajala ni kwamba, Kesi ya kwanza alitakiwa kulipa faini ya Tsh millioni 5 na ya pili ni Tsh millioni 8 au kwenda jela miaka mitano. Wasanii wa bongomovie wamezichanga pesa hizo kwa harambee ambayo ilizaa matunda  baada ya rafiki yake wa karibu  Wema na Zamaradi  na wengine kuhenya na  ATMs kukusanya pesa hizo .Kajala alitoka huru na kufarijiwa na washabiki wa bongo movie wakiongozwa na Wema Sepetu kwa habari zaidi angalia www.bongomovietz.com
Kajala akilia kwa faraja huku akipundia mashabiki na wadau hukuWema Sepetu akimkumbatia na kumsindikiza.Pole sana dada ila nadhani umejifunza mengi. jipange na uendeleze makamuzi kama kawa.

MWENYEKITI WA UVCCM NA KAMATI YA UTEKELEZAJI WAZUIWA KUINGIA UKUMBINI KATA YA ELERAI WAKATI WAKIWA ZIARANI

Tarehe 22/03/13 kamati ya utekelezaji Arusha mjini wakiwa na mwenyekiti katika ziara ya kikazi walisitisha kuongea na viongozi wa UVCCM wa kata ya ELERAI hii ni baada ya kundi kubwa la vijana wanao jihusisha na usanii kuombakuongea na mwenyekit ili kumweleza shida zao 
Pichani anayeonekana ni mwenyekiti wao akiongea na mwenyekiti wa UVCCM wilaya." sisi kama vijana wa Arusha tumeonatutumie vipaji vyetu ili tuweze kujipatia ajira za kujiendeleza wenyewe kwani ajira zimekuwa ngumu sana ila tatizo limekuwa ni namna ya kuweza kurekod na kukodisha eneo la kufanyia mazoezi tunakuomba utusaidie mkuu maana tumedhamiria kujikwamua kimaisha na kuielimisha jamii yetu kupitia sanaa"
Vijana wasanii wakiwa wamekaa kwa huzuni huku wakisikiliza wakuu wakilonga juu ya dhamira yao
  MAJIBU YA MWENYEKITI WA UVCCM WILAYA
KWA WASANII HAO

serikali ya CCM kwenye ilani yake ya uchaguzi
imeelekeza wazi kuwa itawasaidia vijana na
nijukumu kuwasaidia ila serikali ya CCM haiwezi
kuwasaidia vijana wasiyo na malengo maana
mtuasiye na malengo hajui anako elekea
nahitaji mniandikie maelezo ya malengo yenu
tupo tayari kuwasaidia na kuwaomba wadau
wawasaidie pia mtaiagiza serikali iwasaidie
nataka kuwasiliana naninyi TAR 6.4.2013
mtakuja rasmi kuongea na ninyi na kuweka
mipango sawa ili mweze kuendelea na mtamwomb
Raisi wa wasanii ARUSHA anisindikize siku hiyo
ili awafahamu na kikundi chenu kisajiliwe
asante kunisikiza
BAADA YA MAELEZO HAYO YA MWENYEKITI
WALIANZA KUIMBA CCM CCM CCM JUU !!!!

picha na habari na aafisa habari wilaya
UVCCM Arusha mjini Said A said

18 March 2013

MWENYEKITI WA VIJANA KATA YA SEKEI NDG SAIDI A SAID ANAZINDUA RASMI MFUKO WA SALAM KWA BALOZI .

MWENYEKITI WA VIJANA KATA YA SEKEI NDG SAIDI A SAID LEO SAA TISA ANAZINDUA RASMI MFUKO WA SALAM KWA BALOZI .MFUKO HUU UTAKUWA NA LENGO KUU MOJA NI KUMJENGA BALOZI KIUCHUMI NA KUMPATIA MKOPO KWA AJILI YA KUJIKIMU KIMAISHA .SALAM KWA BALOZI UTAENDANA NA KUMJENGEA UWEZO WA KUPATA MAWASILIANO YEYE NA WANANCHI WAKE ANAOWAONGOZA KWA KUWAPATIA SIMU MAALUM HII ITASAIDIA KWA BALOZI KURAHISHA UTENDAJI WA KAZI. Habari  hii inatoka kwa umoja wa vijana (Sekei) Arusha

12 March 2013

Ujumbe kwa Marafiki wa Facebook wa Mh Joseph Mbilinyi


MUHIMU KIASI: KWA KUWA ACCOUNT YANGU IKO FULL HUMU NA NINA MARAFIKI WENGI AMBAO HATA HATUWASILIANI TENA,KWA NIA NJEMA NATARAJIA KUFUTA BAADHI YA MARAFIKI WA FACEBOOK AMBAO HATUWASILIANI AU URAFIKI 'UMELALA' KWA MUDA MREFU...LENGO NI KUTOA NAFASI KWA MARAFIKI WENGINE WENGI WANAOHITAJI KUWASILIANA NAMI HUSUSANI WANA MBEYA WALIO MBALI NA MBEYA...SO IWAPO NITAKUFUTA KWA BAHATI MBAYA NA HUKU HUWA TUNAWASILINA BASI UTANIWIA RADHI NA TUTAFANYA UTARATIBU TUENDELEE KUWA MARAFIKI KWENYE TEKNOLOJIA HII MUHIMU KWA MAWASILIANO. ASANTENI SANA!--Ujumbe huu ambao ameutoa punde hivi leo ni kuweka sawa wananchi na jamii nzima juu ya ukarabati wa Uhusianano kati ya watu na hasa mkiwa karibu kimwelekeo na utendaji.Namuunga mkono kwa uamuzi huu na nadhani ni bora kuwa na marafiki wachache ila wazalishaji kuliko kuwa na wengi wasiojishirikisha .

Babiy Cee aka Salim got Married

According to his face book page Salim aka Babiy Cee tied the knock ; Hungaz wishing Cee who is one of the M2S group a worderful time in his honey moon and looking forward to keep in touch for more news about their wedding .Press play while looking  pictures to get to listen one of his music.



Salim aka Babiy Cee tied the knock (Mwana akiandaa pingu)

11 March 2013

NEW MUSIC: Lick dis one out!!! a mix of AfroNija ,JamSWag and da flow is so sick..melody kills simchezo enjoy

The Matter' is the debut single from music producer/songwriter Maleek Berry. This addictive club anthem is set to feature on a huge project in which Maleek Berry is working on with Wizkid.

Maleek Berry is not exactly new to the game as he has produced some songs for other artists in the past such as Sinzu and Davido's hit song "Carolina", not to mention 3 songs on Davido's debut album O.B.O, making him one of the newest most sought after producers. The young producer is set to make his mark in the music industry with this new project, which will feature the best and biggest artists in the industry. With a song like "The Matter", there is no doubt that he is definitely off to a good start. Be on the lookout for more of Maleek Berry this year.

The Tanzania first lady kasema hivi kwenye siku ya Mwanamke duniani

Leo ni siku ya wanawake Duniani.,ni siku ya kujitazama kama Taifa juu ya hali ya wazazi hawa na walezi wa Taifa hili. Ni siku ya kujipima na kutathimini namna gani, wanawake wamewezeshwa kujitambua na kushirikishwa katika mipango ya maendeleo ya jamii yetu. Tunapofikiri kama Taifa ni namna gani tunaweza kujikomboa katika Umasikini tulionao ni lazima mipango hiyo iende sambamba na mipango na mikakati ya ukombozi kwa wanawake wa Taifa hili.

Mdau afunguka juu ya TFF na maendeleo ya soka nchini Tanzania

Mhe rais wa tanzania jakaya mrisho kikwete asante sana kwa mengi ulioifanyia TFF ukiwa kama mdau wa michezo .yote yanayotokea sasa tatizo ni TENGA. Anataka kufata walivyochanguana CUF juzi kura za ndiyo tu ,mimi nataka kujua TFF kuna nini mbona mpira mabadiliko atuyaoni kuna kitu TFF mpaka TENGA na watu wake mapovu yanawatoka ,Mheshimiwa rais naomba kocha

RAISI KENYATA AANZA MAANDALIZI YA KUIONGOZA KENYA-angalia picha na matukio ya leo hii ofisini kwake.(Deputy President-elect William Samoei Ruto and President Kenyata meeting with the top Government security officials & Ambassadors )


Together with Deputy President-elect William Ruto,President Kenyata met with the Chinese ambassador to Kenya, Liu Guangyuan who delivered the congratulatory message from Chinese President Xi Jinping
Deputy President-elect William Samoei Ruto and President Uhuru Kenyata of Kenya would like to thank India President Shri Pranab Mukherje for his congratulatory message delivered by the India High Commissioner to Kenya, Sibabrata Tripathi today .
Ethiopian Ambassador Shemsudin Ahmed Roble(right) delivered a congratulatory message from Prime Minister Hailemariam Desalegn when he paid Deputy President-elect William Ruto(left) and President Kenyata (middle) a visit today.
Deputy President-elect William Samoei Ruto and President Uhuru Kenyata  meeting with the top Government security officials when they paid a call on them earlier today monday 11/03/13

10 March 2013

Mother's Day In Diaspora was sparkling

Hungaz cerebrated "mother's day" in a wicked style.The day started by a church giving a special treaty to all ladies by  offering a dinner party which was held at Nandos.After the dinner few ladies joined hungaz and Mr Maina Owino for few drinks.Surprising came when Agrey Urio,Raya aka mama Kevin,Susan with hubby Mbaruku Mzee,Fiona,Sara and others communed together without intention to.It was unplanned event but been informed by Mr Urio that the day was also supposed to be a meeting of Miss Faith Mdachi's Send-off arrangements spiced up the event even better.
Mr Maina Owino,Sister Raya aka mama Kevin and Hunga

From Left Susan ,Mbaruku,Hunga and Fiona

Susan ,Hunga and Mbaruku showing some love

Hunga With dada Susan
 

9 March 2013

UHURU KENYATA NDIE RAISI WA KENYA 2013

Katika picha hii iliyopigwa wakati wa kupiga kura siku ya tarehe 5/03/13  inaonyesha wazi jinsi Bw Uhuru Kenyata akiwa na uhakika wa ushidi katika Mrindimo wa uchaguzi wa uraisi nchini Kenya. Mr Kenyata made his journey to the called white house of kenya  as a forthiest president of the nation leaving his closest opponent Mr Raila Odinga losing with a clear mentality of reasuarance of Kenyan's peace stabilility in politics issues.Stay locked for more information

8 March 2013

SIKU NI YA WANAWAKE DUNIANI TUITAFAKARI PAMOJA

Habari toka Tanzania Nchi Yetu Sote (M4C)
Hii ndio hali hali ya mwanamke mwenye kujituma.Kuna kila sababu ya kuwaunga mkono wanawake ili waondokane na maisha ya namna hii hasa katika nchi tajiri kwa rasilimali lakini maskini kwa viongozi wenye uzalendo 
Hongera kwa wanawake kwa kuiona siku yao Mungu awajalie muishi maisha marefu na kuzidi kufanikiwa mkiongezeka kimo na maarifa ya kuitambua haki yenu kuwa ni pamoja na kuandaliwa mazingira mazuri ya kupata elimu,huduma bora za afya,na haki ya kuzalisha na kumiliki mali. Pia Mungu awajalie mtambue kuwa nyinyi ni wengi na wingi wenu una madhara hasi na chanya hasa linapokuja suala la kufanya maamuzi yanayoamua mustakabali wa taifa zima kama vile kupiga kura. Inasemekana wengi wenu ndio hufanya chama tawala kiendelee kujivunia utafunaji wa rasilimali za umma bila hofu kwani wanajua mtaji wao ni mkubwa toka kwa kundi kubwa la watu wenye huruma ya asili hata kwa mambo yenye madhara kwa kundi husika.

Afro Beats Vs Bashment party @ Reading in Pictures



Afrobeat vs basment party