Mbwa wa aina hii ajulikanaye kama BELGIUM MASTIFF amemng'ata vibaya Mwanamke BARBARA WILLIAMS wa miaka 40 hadi kupoteza maisha.Tukio hilo lilitokea jana mitaa ya South London.Kilio kikubwa kilisikika na ndipo jirani waliamua kuita police ambao waliwasili eneo la tukio ndani ya dakika tano.Alex Bluckburn Smith ana hitajika na police kwa ajili ya mahojiano,Bw Alex(mid 30's) anasadikiwa kuwa mmiliki wa mbwa huyo.Kwa taarifa kamili toka kwa police zinasema mbwa huyo alipigwa risasi na kufa. |
No comments:
Post a Comment