URBAN PULSE LOGO |
Frank Eyembe(CEO) & Baraka Baraka(Managing Director) |
Utawala wa URBAN PULSE CREATIVE MEDIA unapenda kuwatakia wadau wote pale walipo xmas njema na kheri ya mwaka mpya 2011. Pia tunapenda kutoa Shukrani zetu kwa wadau wote waliotupa support ya namna moja au nyingine pamoja na kutoa comments mbalimbali kuhusiana na kazi zetu.
HUNGAZ nikiwa na FRANK ndani ya Urban Pulse studios |
Mbali na hapo hatuwezi kusahau kutoa shukrani za pekee kwa Bloggers wote ambao wametusaidia kurusha kazi zetu ukianzia na Ankal MICHUZI,JIACHIE,MISS JESTINA,DJ CHOKA,TZ UK, HAKI NGOWI,GLOBAL PUBLISHERS, ABDALLAH MRISHO,KULIKONI UGHAIBUNI,HUNGA,MASHUGULI,KANUMBA,RAY THE GREATEST ,JENGATZ,MASHUGHULI,TA READING,BONGO CELEBRITY,MJENGWA,MTAA KWA MTAA,BONGO WIKEND
TV & RADIO STATION zikiwepo BBC, BEN TV, BET,MTVBASE,AILTV, PRESENTERS: SPORAH, FRED MTOI na Fred Macha, wadhamini wetu kampuni,ASET(ASHA BARAKA & BARAKA MSILWA) na mwisho kabisa Ubalozi wetu wa Tanzania hapa UK Pamoja na staff wote.
Hivyo basi tunawaomba mkae tayari kupokea mwaka mpya 2011 na programme za ukweli na kusisimua kutoka URBAN PULSE CREATIVE MEDIA.
ASANTENI,
URBAN PULSE CREATIVE MEDIAurbanpulsecreative@googlemail.com
No comments:
Post a Comment