19 December 2010

PRODUCER JOSH AKIMBIA BARIDI!!!

Yule mkali wa kuandaa muziki wa kizazi kipya anayejulikana kwa jina La YOUNG JOSH ameikwepa baridi ya UK na kwenda kupumzika pale home TZ.Baada ya kukamua kwa muda mrefu hapa UK kwenye miradi kama Movie ya £ovely Gamble(Urban Pulse Creative),na Project za wana muziki mbalimbali akiwemo MOOGS,Miss Mish,Diamond,Ordain,Tizzle,Damus,Price A na wengine wengi.Josh ambaye ni mwazilishi wa MZUKA Records,yuko Dar katika harakati za kujiweka sawa kitaaluma na kupata muda wa kupumzika na familia yake hasa wakati huu wa xmass.
Kwa taarifa nilizonazo toka kwa wahusika ni kwamba Moogs na Josh chini ya MZUKA Records wana tarajia kuoa Mixtape ya ukweli ambayo itangulia kabla ya Album.

Pata picha akiwa pale Dar TZ akiwakilisha:

Young Josh akigonga glass na Baba yake
Hapa akijaza mafuta Oil Com na kuelekea Mlimani City
 


Young Josh na Msanii Diamond akiwakilisha Mzuka Records @Mlimani City katika maandalizi ya Bongo got Talent,kwa mbali una weza kumuona Dj Choka(white t-shirt akiwa kwa Dj Table).
Sikiliza kazi zake kwenye link hii; http://www.myspace.com/22CBeats




No comments: